SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)

Episode 2 January 15, 2023 01:06:43
SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)
Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)
SURA YA 4-2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31)

Jan 15 2023 | 01:06:43

/

Show Notes

Masharti kama vile kujitengenezea Wakristo au kanisa lenye watu watu wengi,linaloonekana kuwa maarufu sana,haswa miongoni mwa jamii za Wakaristo wa Dunia ya Tatu.Wanajaribu kubadilisha ukristo wa Magharibi kuwa aina moja ambayo inaambatana zaidi na tamaduni zao.Wanasisitiza sana kifungu cha pili cha uhasama wa jadi,Umoja katika mambo muhimu,uhuru katika vitu visivyo vya msingi na hisani katika mambo yote.Lakini jambo la bahati mbaya ni kwamba hawajua mambo muhimu ni yapi au ni nini.Walakini,injili ya maji na Roho iliyoenezwa na sisi haiwezi kudhihirishwa katika hali tofauti nay ale yaliyomo katika injili hii.Na hivyo haiwezi kubadilika kwa hali yoyote.Ninamshukuru Mungu kwa kweli maana ninaweza kuwahubiria injili ya maji na Roho ambayo inaweza kukuokoa kutoka katika dhambi zako zote chini ya hali yeyote.Kwa hviyo,niko tayari kufanya kazi hii ya haki mpaka siku ile Bwana wetu atakaporudi.Ninaamini kwamba roho nyingi zitaachiliwa kutoka katika dhambi zao zote kwa kuamini injili ya maji na Roho.Ninjua pia kitabu hiki kitakuwa na faida kwako kabisa.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Other Episodes

Episode 7

January 15, 2023 00:47:48
Episode Cover

SURA YA 5-3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26)

Kuna wakristo wengi wakati huu ambao bado hawajasamehewa dhambi zao, kwa kuwa hawajapokea injili ya ondoleo la dhambi ambayo imekuja na injili ya maji...

Listen

Episode 10

January 15, 2023 00:22:50
Episode Cover

SURA YA 5-6. Matunda ya Roho Mtakatifu (Wagalatia 5:15-26)

Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo alizungumza juu ya maisha ambayo humfuata Roho Mtakatifu, na maisha ambayo hufuata mwili. Tuna tabia hizi...

Listen

Episode 6

January 15, 2023 00:46:54
Episode Cover

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya...

Listen