Paulo aliandika barua hii takriban miaka 2000 iliyopita. Mambo haya hurejea kanuni za msingi za Sheria, kuishi maisha ya kisheria ya imani kulingana na Sheria. Wayahudi walizoea kujifunza kila kitu kwa yeshiva. Mtume Paulo mwenyewe pia alifundishwa chini ya mwalimu maarufu aliyeitwa Gamalieli na kufundishwa kumcha Mungu kupitia Sheria. Ndio maana mtume Paulo aliita mambo kuwa bado yamefungwa na Sheria, kujifunza Sheria, na kufuata Sheria hata baada ya kuja kwa Yesu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Jioni hii, katika Neno la Mungu kutoka Wagalatia 6: 11-18, ningependa kushiriki neema za Bwana nanyi. Kama tulivyoona hivi sasa katika Neno, na vile...
Nimeshughulikia maswala kadhaa katika Wagalatia hadi sasa, lakini kushughulikia Kitabu cha Wagalatia kwa undani zaidi, bado ninahitaji kutoa mahubiri zaidi. Ni kwa sababu Neno...
Masharti kama vile kujitengenezea Wakristo au kanisa lenye watu watu wengi,linaloonekana kuwa maarufu sana,haswa miongoni mwa jamii za Wakaristo wa Dunia ya Tatu.Wanajaribu kubadilisha...