Mtume Paulo alisema kuwa ingawa watakatifu na wahudumu wote ni warithi wa Mungu ambao watarithi Ufalme wake, wakati wanaishi hapa duniani, sio tofauti na watumwa na wako chini ya wasimamizi kwa muda, na kwamba wanateseka chini ya mambo ya ulimwengu kwa muda mfupi. Alisema, "Ingawa tunaishi kama watumwa katika ulimwengu huu kwa muda mfupi, tusisahau kuwa sisi ni wana wa Mungu ambao tutarithi utajiri wote wa Mungu Baba." Ujumbe huu haukuzungumzwa tu kwa watumishi wa Mungu na watu wake wote wakati huo, lakini pia unasemwa kwetu pia leo.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika...
Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 4:1,Sasa nasema kwamba mrithi,maadamu ni motto,hana tofauti kabisa na mtumwa, ingawa ni Bwana wa wote.Imeandikwa kuwa ikiwa sisi ni...
Mara tu ukiangalia Wagalatia, tunaweza kuona kwamba kulikuwa na maeneo fulani ambayo mtume Paulo alipambana sana, akishawishiwa na imani ya waovu, kulikuwa na wengi...