Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya mwili inayoturudisha kuwa watenda dhambi, kwa sababu Yesu Kristo alikuja kutuokoa kutoka katika dhambi. Bwana wetu ametufanya kuwa watoto wa Mungu kwa kutuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu huu kwa injili ya maji na Roho. Kwa kweli Bwana ametupa wokovu wa kweli na uhuru wa kweli kwa wale tunaoamini injili ya maji na Roho.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kuna wakristo wengi wakati huu ambao bado hawajasamehewa dhambi zao, kwa kuwa hawajapokea injili ya ondoleo la dhambi ambayo imekuja na injili ya maji...
Katika sehemu ya mwisho ya Wagalatia, mtume Paulo alisema haswa, Tangu sasa mtu asinitaabishe;kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu. (Wagalatia 6:17). Alichomaanisha...
Je! ulikuwa na chakula cha jioni kizuri? Hii ni mara ya kwanza kwamba hatujafanya sherehe zozote za michezo wakati wa kufanya mikutano yetu ya...