Kuna wakristo wengi wakati huu ambao bado hawajasamehewa dhambi zao, kwa kuwa hawajapokea injili ya ondoleo la dhambi ambayo imekuja na injili ya maji na Roho, na wanabaki wakikamatwa na mafundisho wakristo wa uwongo.Kwa hivyo, kupitia Kitabu hiki cha Wagalatia, napenda kuwaonya kwa kuwa wanakabiliwa na uharibifu wa kiroho kwa sababu ya fundisho la sala za toba ambalo wamekuwa wakifuata. Ninahisi hivyo isipokuwa nichukue fursa hii kuweka wazi jambo hili, hakutakuwa na fursa nyingine ya kusahihisha imani yao potofu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Paulo aliandika barua hii takriban miaka 2000 iliyopita. Mambo haya hurejea kanuni za msingi za Sheria, kuishi maisha ya kisheria ya imani kulingana na...
Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya...
Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika...