Katika sehemu ya mwisho ya Wagalatia, mtume Paulo alisema haswa, Tangu sasa mtu asinitaabishe;kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu. (Wagalatia 6:17). Alichomaanisha Paulo hapa ni kwamba watu hawapaswi kujaribu kupokea ondoleo la dhambi kupitia imani yao batili, wala kudai kuwa hawana dhambi. Alisema kwamba hakuna mtu anayepaswa kumsumbua tena, haswa kwani alielezea vya kutosha jinsi ilivyo imani potofu kwa walanguzi kujaribu kuwa watu wa Mungu kwa kutahiriwa. Kwa maneno mengine, Paulo aliwaambia wasimpe uzito au kumtoa nguvu kwa imani hizo mbaya.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya...
Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 4:1,Sasa nasema kwamba mrithi,maadamu ni motto,hana tofauti kabisa na mtumwa, ingawa ni Bwana wa wote.Imeandikwa kuwa ikiwa sisi ni...
Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya...