Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya Roho mbele za Mungu? Ni kuishi aina ya maisha yanayompendeza Mungu kama, kuhubiri injili ya maji na Roho kwa roho zingine ili waweze pia kupokea ondoleo la dhambi zao.Kinacholeta matakwa ya Roho ndani yetu na kutufanya tuishi kulingana na shauku hii ni imani yenyewe iliyowekwa katika injili ya maji na Roho.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Jioni hii, katika Neno la Mungu kutoka Wagalatia 6: 11-18, ningependa kushiriki neema za Bwana nanyi. Kama tulivyoona hivi sasa katika Neno, na vile...
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo anafafanua kazi za mwili na tunda la Roho Mtakatifu kwa kuzitofautisha dhidi ya kila mmoja. Kwanza...
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo alizungumza juu ya maisha ambayo humfuata Roho Mtakatifu, na maisha ambayo hufuata mwili. Tuna tabia hizi...