Nimeshughulikia maswala kadhaa katika Wagalatia hadi sasa, lakini kushughulikia Kitabu cha Wagalatia kwa undani zaidi, bado ninahitaji kutoa mahubiri zaidi. Ni kwa sababu Neno katika Wagalatia lina mengi sana na masomo ya kiroho ambayo lazima yashughulikiwe.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika...
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo alizungumza juu ya maisha ambayo humfuata Roho Mtakatifu, na maisha ambayo hufuata mwili. Tuna tabia hizi...
Paulo aliandika barua hii takriban miaka 2000 iliyopita. Mambo haya hurejea kanuni za msingi za Sheria, kuishi maisha ya kisheria ya imani kulingana na...