Kifungu cha Maandiko cha leo kinasema Ndugu zangu,mtu akighafilika katika kosa lolote,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole,Mtu ameghafilika kwa kosa lolote, tunapaswa kurejesha watu kama hao kwa roho ya upole, na tukajichunguze. Kwanza lazima tuchunguze imani yetu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo anafafanua kazi za mwili na tunda la Roho Mtakatifu kwa kuzitofautisha dhidi ya kila mmoja. Kwanza...
Paulo aliandika barua hii takriban miaka 2000 iliyopita. Mambo haya hurejea kanuni za msingi za Sheria, kuishi maisha ya kisheria ya imani kulingana na...
Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya...