SURA YA 6-4. Bwana Ametuokoa Sio Kwa Damu Yake tu Msalabani, bali Kupitia Injili Ya Maji na Roho (Wagalatia 6:11-18)

Episode 15 January 15, 2023 01:00:17
SURA YA 6-4. Bwana Ametuokoa Sio Kwa Damu Yake tu Msalabani, bali Kupitia Injili Ya Maji na Roho (Wagalatia 6:11-18)
Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)
SURA YA 6-4. Bwana Ametuokoa Sio Kwa Damu Yake tu Msalabani, bali Kupitia Injili Ya Maji na Roho (Wagalatia 6:11-18)

Jan 15 2023 | 01:00:17

/

Show Notes

Jioni hii, katika Neno la Mungu kutoka Wagalatia 6: 11-18, ningependa kushiriki neema za Bwana nanyi. Kama tulivyoona hivi sasa katika Neno, na vile vile katika kifungu hiki, tunaweza kuona tena jinsi waasi walivyolitupa Kanisa la Mungu katika machafuko makubwa ya kiroho, na jinsi mtume Paulo alivyopata shida kubwa mikononi mwa walanguzi aliokuwa nao. Tuje kwenye haya makanisa ya Galatia,Ndio maana Paulo alikasirika.
Mtume Paulo kwanza aliwaonyesha watu wa tohara nia na siri. Sababu zilizowafanya kutetea tohara ya mwili zilikuwa ni tatu: Kwanza, ni kupitishwa na Wayahudi; pili, kuzuia kuteswa na watu wao; na ya tatu, kujivunia imani yao. Ndio sababu Paulo alisema katika Wagalatia 6: 12-13, "Wote watakao kuonekana ni wazuri kwa mambo ya mwili,ndio wanaowashurutisha kutahiriwa;makusudi wasiudhiwe kwa ajili ya msalaba wa Kristo,hilo tu.Kwa maana hata wao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki sheria;bali wanataka ninyi mtahiriwe,wapate kuona fahari katika miili yenu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Other Episodes

Episode 14

January 15, 2023 00:44:26
Episode Cover

SURA YA 6-3. Hebu Tumtumikie Mungu Kwa Kubebeana Mizigo Yetu Kila Mmoja (Wagalatia 6:1-10)

Kifungu cha Maandiko cha leo kinasema Ndugu zangu,mtu akighafilika katika kosa lolote,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole,Mtu...

Listen

Episode 5

January 15, 2023 00:42:51
Episode Cover

SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika...

Listen

Episode 16

January 15, 2023 00:39:11
Episode Cover

SURA YA 6-5. Hebu na Tuhubiri Injili ya Maji na Roho Kwa Ufahamu Sahihi (Wagalatia 6:17-18)

Katika sehemu ya mwisho ya Wagalatia, mtume Paulo alisema haswa, Tangu sasa mtu asinitaabishe;kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu. (Wagalatia 6:17). Alichomaanisha...

Listen