Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo alizungumza juu ya maisha ambayo humfuata Roho Mtakatifu, na maisha ambayo hufuata mwili. Tuna tabia hizi zote mbili, sawa? Walakini, kama wenye haki, kile tunachowaza na kutamani ni kuzaa matunda ya Roho Mtakatifu maishani mwetu. Imeandikwa, "Tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, fadhili, utu wema, uaminifu, upole, kiasi. Juu ya mambo hayo hakuna sheria (Wagalatia 5: 22-23). Kuna matunda tisa ya Roho yaliyoorodheshwa hapa, na Bwana alituambia kuwa kila wakati tuzae matunda haya ya Roho katika maisha yetu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Je! ulikuwa na chakula cha jioni kizuri? Hii ni mara ya kwanza kwamba hatujafanya sherehe zozote za michezo wakati wa kufanya mikutano yetu ya...
Mtume Paulo alisema kuwa ingawa watakatifu na wahudumu wote ni warithi wa Mungu ambao watarithi Ufalme wake, wakati wanaishi hapa duniani, sio tofauti na...
Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya...