Latest Episodes
7

SURA YA 5-3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26)
Kuna wakristo wengi wakati huu ambao bado hawajasamehewa dhambi zao, kwa kuwa hawajapokea injili ya ondoleo la dhambi ambayo imekuja na injili ya maji...
8

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)
Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya...
9

SURA YA 5-5. Tembea Katika Matakwa Ya Roho (Wagalatia 5:16-26)
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo anafafanua kazi za mwili na tunda la Roho Mtakatifu kwa kuzitofautisha dhidi ya kila mmoja. Kwanza...
10

SURA YA 5-6. Matunda ya Roho Mtakatifu (Wagalatia 5:15-26)
Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo alizungumza juu ya maisha ambayo humfuata Roho Mtakatifu, na maisha ambayo hufuata mwili. Tuna tabia hizi...
11

SURA YA 5-7. Usiishi kwa Utukufu Usio na Maana, Bali Tafuta Ufalme wa Mungu (Wagalatia 5:16-26)
Mara tu ukiangalia Wagalatia, tunaweza kuona kwamba kulikuwa na maeneo fulani ambayo mtume Paulo alipambana sana, akishawishiwa na imani ya waovu, kulikuwa na wengi...
12

SURA YA 6-1. Shiriki Katika Kazi Zote Njema Za Mungu (Wagalatia 6:1-10)
Je! ulikuwa na chakula cha jioni kizuri? Hii ni mara ya kwanza kwamba hatujafanya sherehe zozote za michezo wakati wa kufanya mikutano yetu ya...